Habari tulizozipata hivi punde zinasema kuwa basi la abiria la City Boys kugongana na fuso katika eneo la Igunga, Tabora.Inaelezwa kuwa watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia.Tutawajurisha kwa habari zaidi!!.....
0 comments:
Post a Comment