Friday, September 2, 2016

Published September 02, 2016 by with 0 comment

Video : Diamond na Ne-Yo washoot video ya wimbo wao ‘Marry You’ behind the scene


Hatimaye Diamond na Ne-Yo wameshoot video ya wimbo wao, Marry You. 
Video imefanyika jijini Los Angeles, Marekani. Wimbo huo ulirekodiwa kitambo baada ya Diamond kumfuata Ne-Yo Nairobi alikoenda kwenye kipindi cha Coke Studio Afrika, msimu wa tatu. 
Baada ya hapo wawili hao walikutana tena Marekani kumalizia baadhi ya vipande. Mwezi May, Ne-Yo na Diamond waliuimba wimbo huo pamoja kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, kwenye tamasha la Jembeka.
      edit

0 comments:

Post a Comment