Msanii wa muziki kutoka Marekani Chris Brown, katika ukurasa wake wa Instagram ameweka picha yake na msichana wakiwa wamepose kwenye piano. Huku comment za chini ya picha hiyo kwa 90% ni kutoka kwa Watanzania wakimlalamikia kwamba ame-copy pose kutoka kwa mwanamuziki wa hapa Tanzania, anayewika sana Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla, Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote au Baba Tee.
Yapi ni maoni yako kati ya picha hizi mbili? unadhani ni kweli Chris Brown atakua ameamua kumuiga Chibu? ni coincidence tu?.

0 comments:
Post a Comment